P.O BOX 285, GEITA
+255 686177995 / +255 (0) 754 571 912 / +255 (0) 627 031 864
E-mail: buhalahala.sekondari@gmail.com
Ada ya mwanafunzi kwa mwaka wa masomo. Pre-Form One ni TZS 200,000/=. Form One hadi Form Four ni TZS 1,600,000/=.
| Darasa | Ada kwa mwanafunzi |
|---|---|
| Pre-Form One | TZS 200,000/= |
| Form One | TZS 1,600,000/= |
| Form Two | TZS 1,600,000/= |
| Form Three | TZS 1,600,000/= |
| Form Four | TZS 1,600,000/= |
Ada na michango husimamiwa na ofisi ya mhasibu. Baada ya malipo, taarifa inaonekana kwenye akaunti ya mwanafunzi.
Tumia jedwali hapo juu kujua kiasi kinachohitajika kwa mwaka wa masomo.
Ofisi ya mhasibu huingiza malipo kwenye mfumo baada ya uthibitisho.
Mwanafunzi anaweza kuona deni, kilicholipwa na balance kwenye dashibodi.
Bei zinaweza kuthibitishwa na ofisi ya shule. Kwa maswali kuhusu risiti au michango, wasiliana na mhasibu.