Kujiunga na shule

Dirisha la maombi limefunguliwa kwa madarasa yafuatayo.

Pre-Form One

Mwaka: 2026

Jiandikishe Sasa

Form One

Mwaka: 2026

Jiandikishe Sasa

Form Two

Mwaka: 2026

Jiandikishe Sasa

Form Three

Mwaka: 2026

Jiandikishe Sasa

Form Four

Mwaka: 2026

Jiandikishe Sasa

Pre-Form Five

Mwaka: 2026

Jiandikishe Sasa

Form Five

Mwaka: 2026

Jiandikishe Sasa

Form Six

Mwaka: 2026

Jiandikishe Sasa

Mwongozo wa kujisajili

Fuata hatua hizi kuanzia mwanzo hadi mwisho. Baada ya kutuma utapata namba yako, kisha utaweza kufuatilia kama maombi yamekubaliwa au la.

  1. Anza maombi

    Bonyeza Jiandikishe Sasa. Unaweza kubadilisha lugha juu (Kiswahili / English) kabla ya kujaza.

  2. Pakia picha na jaza hatua 7

    Uchaguzi wa darasa, taarifa za mwanafunzi, taaluma, mlezi, nyaraka (PDF/JPG), tamko, kisha kagua. Unaweza kubonyeza Edit ukikosea.

  3. Tuma na hifadhi namba

    Baada ya kutuma utapata namba kama BSS/F1/2026/00002. BSS ni shule, F1 ni darasa, 2026 ni mwaka, 00002 ni namba yako.

  4. Fuatilia maombi

    Nenda Admissions → Fuatilia maombi, weka namba yako. Utaona hali: imetumwa, inakaguliwa, imekubaliwa, au haijafaulu.

Fomu za kupakua

Fomu ya maombi ya Pre-Form One 2026